Mtaala wa kozi

    1. Maelekezo ya namna ya kujifunza kwa mafanikio

    2. Taasisi ya Thrive

    3. Ujumbe wa ukaribisho kutoka kwa Dale Bolton

    1. Utangulizi wa Matumizi bora ya ardhi: maandalizi ya kuchimbua udongo

    2. Somo la 1: Mambo matatu ya muhimu zaidi

    3. Namna ya Kutengeneza Matuta ya Bustani Yaliyochimbuliwa mara mbili

    4. Somo la 2: Kanuni zingine 5

    5. Somo la 3: Utendaji wa Thrive

    6. Somo la 4: Aina za udongo

    7. Jaribio la ulichojifunza kutoka kwenye somo la kilimo kinachozingatia matumizi bora ya ardhi

    1. Utangulizi wa Lisha Udongo Wako-Una Njaa Pia

    2. Somo la 1: Mboji ni nini?

    3. Somo la 2: Namna ya Kutumia Mboji

    4. Namna ya Kutengeneza Mboji

    5. Namna ya Kutengeneza Chai Ya Mmea

    6. Somo la 3: Faida za Mboji

    7. Pima uelewa wako kwenye kutengeneza mboji

    1. Utangulizi wa Udongo Hutengenezwa kwa Miti

    2. Somo la 1: Kujenga udongo kwa ustahilivu wa muda mrefu

    3. Namna ya Kutengeneza Tuta Lenye Virutubisho Vyote Muhimu Kwa Mmea

    4. Pima uelewa wako kwenye tuta lenye virutubisho muhimu kwa mmea

    1. Utangulizi wa Kulinda Udongo

    2. Somo la 1: Kwanini udongo utunzwe?

    3. Somo la 2: Namna ya kutunza udongo

    4. Pima uelewa wako kwenye kutunza udongo

    1. Utangulizi wa Mimea Mseto Inayolinda Bustani yako

    2. Somo la 1: Nini maana ya upandaji unaolinda bustani?

    3. Somo la 2: Faida na mifano ya upandaji unaolinda bustani

    4. Pima ulichojifunza kwenye kilimo mseto

Kuhusu kozi hii

  • Bure
  • Masomo 54
  • Masaa 5.5 ya maudhui ya video

Kugundua uwezo wako, kuanzia leo